LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Dunia Ina Mambo

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Dunia
Dunia yo, Dunia yo, Dunia yoo
Ina mambo
Dunia yo
Dunia yo
Dunia yoo
Ina Mambo

Jamani Huyu mwana Vipi oo?
Ngungunguwe Kani honga Hela Tano
Hela Tano mwe Hela Tano mwe
Mwana nyamala

Jamani huyu Baba Vipi oo?
Ngungunguwe Kani honga Hela Tano
Hela Tano mwe, Hela Tano mwe
Mwana nyamala

Ukini ita Baba ndio mie ewe
Ukini ita Taka—taka nifagie!
Ukini ita Mama ndio mie ewe
Ukini ita Taka—taka nifagie!
Ukini ita Dada ndio mie ewe
Ukini ita Taka—taka nifagie!
Ukini ita Kaka ndio mie
Ukini ita Taka—taka nifagie!

Dunia yo, Dunia yo, Dunia yoo
Ina mambo
Dunia yo
Dunia yo
Dunia yoo
Ina Mambo


Undugu wa Kikombe
Sio Undungu wa Kisahani
Mzaliwa pamoja
Lakini hatujuani

Undugu wa Kikombe
Sio Undungu wa Kisahani
Mzaliwa pamoja
Lakini hatujuani

Kidubmwe—Kidumbwe Chalia
Kidubmwe—Kidumbwe Chalia
Kidubmwe—Kidumbwe Chalia
Kidubmwe—Kidumbwe Chalia

Oo Kikojozi na nguo tui tie Moto

Kidubmwe—Kidumbwe Chalia
Kidubmwe—Kidumbwe Chalia
Kidubmwe—Kidumbwe Chalia
Kidubmwe—Kidumbwe Chalia

Oo Kikojozi na Nguo qui tie Moto

Dunia yo, Dunia yo, Dunia yoo
Ina mambo
Dunia yo
Dunia yo
Dunia yoo
Ina Mambo


Undugu wa Kikombe
Sio Undungu wa Kisahani
Mzaliwa pamoja
Lakini hatujuani

WRITERS

EDWARD JOHN CAMPBELL ASHCROFT, NGOY LUSAMBO, PAUL JONATHAN IVAN VIALS, SAIDI SALUM JUMAINE

PUBLISHERS

Lyrics © Sony/ATV Music Publishing LLC, APM MUSIC ASSOCIATED PRODUCTION MUSIC

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other