LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nimechoka

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Nimechoka na uongo wako
Nimechoka ae ae

Nimechoka na uongo wako
Nimechoka sitaki tena

Nimechoka na uongo wako
Nimechoka ae ae

Nmechoka na uongo wako
Mara kwamara
Nikija kwako nyumbani
Nakuta kifuli mlangoni

Nimechoka ae ae

Nimechoka nauongo wako
Mara kwa mara
Nikipiga simu haujibu

Nimefanya kazi usiku namchana
Sababu ya ewe mke
Mapeni nakupatia sasa ishiwa

Bibi wataka nikupe nini
Bibi wataka nikupe nini niambie

Eh he niambie nielewe eh

Nimechoka na uongo wako
Nimechoka ae ae

Nimechoka na uongo wako
Nimechoka sitaki tena

Nimechoka nauongo wako
Nimechoka Ae ae

Nimechoka na uongo wako
Nimechoka ae ae

Nimechoka na uongo wako
Nimechoka sitaki tena

Nimechoka nauongo wako
Nimechoka Ae ae


Juma pili ilio pita
Kawonekana na jama
Ukitanga tanga

Sikujua mapenzi yako ni pesa
Ningejua mwanzoni
Singesumbuka nawee

Sasa na umia nilipo uliza
Mambo gani uno fanya
Kani letea polisi

Sikujua mapenzi yako nipesa
Ningejua mwanzoni
Sikujua mapenzi yako nipesa
Ningejua mwanzoni

WRITERS

EDWARD JOHN CAMPBELL ASHCROFT, JOSEPH OTIENO ADAMSON, PAUL JONATHAN IVAN VIALS

PUBLISHERS

Lyrics © Sony/ATV Music Publishing LLC, APM MUSIC ASSOCIATED PRODUCTION MUSIC

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other