He he he niiko kimya niiko kimya
Kabisa usinione nimenyamaza
Usinione nimenyamaza ninao mambo
Usinione nimenyamaza ninao mambo
Dunia ina mambo yana sikitisha
Vile nimesema mambo yako mengi
Yakusema sijui nianzie wapi
Dunia ina mambo yana shikitisha
Wengi wao watu wapoteza mda bure
He he he nakuambia social media
Marafiki hawakutante tena
Mapenzi yana. Unjika left, right
Usinione nimenyamaza yeye
Tuambie tena sing it again
Ninao mambo mengi yakusema ah
Usione nimenyamaza mambo yako mengi
Ninao mambo mengi yakusema ah
Ninao mambo mengi yakusema ah
Ninao mambo mengi yakusema ah
Ninao mambo mengi yakusema ah