Search for Songs, Artists & Albums
Add Song
Add Song
Asante Baba
Elvis Abidoh
Lyrics
Asante baba
Asante baba
Asante baba
Umenipa mi baraka chungu nzima
Asante baba
Ntainua mikono yangu na kusifu
Umenipa maisha mpya
Siku mpya
Nafasi mpya
Nasema asanti baba
Nasema asanti baba
Umenipa mlo chakula
Mavazi na nyumba
Sichomeki na jua
Sinyeshewi na mvua
Siogopi uko nami
Waniongoza njiani
Baraka zako sikosi yesu wangu
Asante baba
Umenipa mi baraka chungu nzima
Asante baba
Ntainua mikono yangu na kusifu
Asante baba
Umenipa mi baraka chungu nzima
Asante baba
Ntainua mikono yangu na kusifu
PUBLISHERS
Lyrics © TuneCore Inc.
Share
See A Problem With Something?
Lyrics
Other