Meumbwa shakila Venye unalitikisa nyonga mi mlevi ka nimekula unga
Ukinitupa chini nitajinyonga
Mi nakupenda sema tu navunga
Yeah kisura malaika shape vela
Vile nakwenda pupa akili ni fyatu kwa ubongo
Aah baby i no go to you lie
Wakikuuliza wambie uko na mie
Aah oh baby wewe na mimi till i die
I dont wanna love somebody
Na kwenye kiza we mwanga nimulikie
Aaah unaniua baby unanilevya pale kwenye KVant
Yan nakufa venye unanikanyagia aaaah
Na hapo ndo hujalewa baby
Unavoruka unavobang bang, Dance
Itakuwaje pale ukikunywa bia, aaaah aaah
Baby we kibokoboko let me say
Sipatagi ile kimokomoko i replay