LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nisingezaliwa

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Kichwa kinaniuma mawazo
Kichwa kinaniuma kuwaza
Kichwa kinaniuma mawazooouuuh
Kuna muda najiuliza inamaana nisingekuwepo duniani
kama mama asingependa penda kwenda bar uyeeh!
Pia huwa najiuliza inamaana nisingezaliwa
kama mama asingetaka iphone asingependa raha ouwooh!
Labda ni umasikini ndo ulimponza
Ama ni marafiki walimzonga
Wakamfundisha na kudanga danga
Bila kujali afya
Walipolewa stimu zikawapanda
Walivyoitwa getto wakaenda
Bila kujali mbegu wanayopanda
Kitumbo kitajaa
Basi kumbe mi nisingezaliwa
Yani mi nisingezaliwa
Basi kumbe mi nisingezaliwaaah
wuwuwuwuuuuuh
Basi kumbe mi nisingezaliwa
Yani mi nisingezaliwa
Basi kumbe mi nisingezaliwaaah
Nisingezaliwaaah
Wuwuu wooowoo Huhuu wowo wowowoo
YEE
Simlaumu maana mimi kwake bado ni mtoto
Lakini kwanini kwake nilikuja ka changamoto
Na kichwa kina mawazo nawaza labda nsingekuwepo duniani iii
Angevishinda vikwazo mamaaa
Labda ni umasikini ndo ulimponza
Ama ni marafiki walimzonga
Wakamfundisha na kudanga danga
Bila kujali afya
Walipolewa stimu zikawapanda
Walivyoitwa getto wakaenda
Bila kujali mbegu wanayopanda
Kitumbo kitajaa
Basi kumbe mi nisingezaliwa
Yani mi nisingezaliwa
Basi kumbe mi nisingezaliwaaah
wuwuwuwuuuuuh
Basi kumbe mi nisingezaliwa
Yani mi nisingezaliwa
Basi kumbe mi nisingezaliwaaah
Nisingezaliwaaah
Wuwuu wooowoo Huhuu wowo wowowoo
YEE

WRITERS

Frank Mshumbusi, Kenneth Mkondoa

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid, Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Sadness

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup Icon
Theme

Sexual