LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nakunywea Bia

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Oohkaay
Gingerrr
Neyyym
Story zako nnazo,kwa watu unaniongelea
Data zako nnazo,mabaya unayoniombea
Shemeji yako kipenzi,eti unataka kua nae
Naulivyokua mshenzi,unamuomba mzae
Wewe kutwa kwa mganga,kunipigia nyanga
Mombasa mara Tanga,hauna haya weeh
Nikiwa sipo unaninang'a,unaongea kwakutamba
csa sikia mshamba wee,
Leo Nakunywea Bia,Tena nimekupania
Leo Nakunywea Bia,Ukome kunifwatilia
Leo Nakunywea,Tena nimekupania
Leo nakunyea bia,Ukome kunifwatilia
Koma koma (Okeeee)
cah! Skia Mwanangu (Mzeeee)
Magang gang We Ma Gee we muhuni wanguu (Mzeeee)
Unafeli sana unankanyagia kwa pisi yangu (Mzeeee)
Unaforce sana uje ureplace nafasi yanguu (Mzeeee)
Kumbe si mwananguu (Mzeeee)
Me nakunywea ngano Kinachofata ni michano (cyaaa)
We si ulinambia wife kaliwa kwa bia tano (cyaaa)
Kaliwa pemba na Madanga Mia tano (cyaaa)
Kaliwa kumbe na we unataka kupitamo
Wewe kutwa kwa mganga,kunipigia nyanga
Mombasa mara Tanga,hauna haya weeh
Nikiwa sipo unaninang'a,unaongea kwakutamba
csa sikia mshamba wee,
Leo Nakunywea Bia,Tena nimekupania
Leo Nakunywea Bia,Ukome kunifwatilia
Leo Nakunywea(nakuchamba uchambikee)
Tena nimekupania(nakupasha upashike)
Leo nakunyea bia (komaa,koma)
Ukome kunifwatilia(koma,koma)
Leo Nakunywea Bia,Ukome kunifwatilia
Ookaay!!!

PUBLISHERS

Lyrics © Big Masterz

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other