Una miaka kibao unakazana kazana
Ingawa hali ni ngumu unapambana pambana
Wenzako wa rika lako walishapata maana
Ukikutana nao wanakushangaa sana
Hali ya maisha yako inafanya unasononeka sana
Mke na watoto wako wameondoka unaupweke bana
Hali ya maisha yako inafanya unasononeka sana
Mke na watoto wako wameondoka unaupweke bana
Ingawa hali ni ngumu sana
Ingawa mbele unaona giza we
Ipo siku yako yaja leo ama kesho ama baadaye
Chakufanya ni kutia bidii na kuamini
Ipo siku yako yaja leo ama kesho ama baadaye
Chakufanya ni kucelebrate wenzako
Shangilia mwenzako anapo fanikiwa
Furahia mwenzako anapo barikiwa
Nawe kwa siku yako tutakushangilia
Nawe kwa siku yako tutakufurahia
Ingawa hali ni ngumu sana