Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni)
Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni)
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing cm Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream cm Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata cah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua
Kuna Mtu Hichi Kichwa cnakisumbua Siku Iyo Mtamjua
Mwenzenu Pombe Nishaacha, Kuvuta Nishaacha
Ila Mapenzi Siwezi ccha Japo Yananiumiza