We be texting on my phone its not my thing
She got me glued i played along
How she gets me i never felt this
Najiseti ama kweli napendwa
Usinipe zaidi ya uaminifu wako nnaotaka
Siombi yaje kwisha bali yawake kama taa
Dont just say you love me
Kando na visirani far away
This is what am tryin to say
Usinipe zaidi ya uaminifu wako nnaotaka
Siombi yaje kwisha bali yawake kama taa