onana naa na na na naah Imuh
Naye ndo kanidaka juu juu, na penzi lake kama dege lankijeshi, Ye ndo katibu wa nidhamu anani search mpka ndani kwenye fensi Ayeee!
Amenivuruga Amenibambanya jamani si utani, Na kama padri na msalaba shekhe na msikiti ndo yeye na mimi
Na baby basi stop weka nukta, ukizidisha mwenzio nutachizika, hili penzi ama sadaka, unanipa mpka nashindwa pakuweka.
Na mara popo kanyea mbingu, miguu juu juu kama tunacheza judo, dozi mchana usiku sipatia nafuu kmaa naumwa kifaduro
baby punguza raha mi nakuwa kibonge nanennepa, kwani hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafupa
mwenzako nimekuwa chibonge
Nimetoka minyama {Ona nna mashavu kama napuliza moto}
Nimetoka minyama {Na penzi umejaza wese wewe wewe}
Nimetoka minyama {Mwenzenu nimetoka minyama}
Nimetoka minyama {Mwenzenu nanenepa kwa raha}
NIlipata majangiri nikadhani mapenzi sio raha, niliona jangili kumbe sijawahi pendwa. Ayee
sasa napendwa na pesa natoa, roho mkunjufu nafsi nimeridhia, akinitega tu pochi nampatia, na nnavyo penda ngono sijui nitatoboa
Penzi lake nakopea mkopo bank, nakopeshwa na sidaiwi, Kutwa nazama mgodi wa chumvi sipati safura wala kisukari
Na mara popo kanyea mbingu, miguu juu juu kama tunacheza judo, dozi mchana usiku sipatia nafuu kmaa naumwa kifaduro
baby punguza raha mi nakuwa kibonge nanennepa, kwani hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafupa
mwenzako nimekuwa chibonge
Nimetoka minyama {Jamani mbona anaupiga mwingi}
Nimetoka minyama {Ananipa full charge wala haringi}
Nimetoka minyama {Ona nna mashavu kama napuliza moto}
Nimetoka minyama woooh uwooh uwoo uwoo
mara nasema ongeza nasema punguza yani sielewe
mara nadai nimechoka afu nataka tena yani sijui
You can call me zuzu yeeh