LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Sikubali

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Maneno mengi kabla hatujakutana
We ni fundi utanipea sana
Mi nikajaa nakuli nikatuma
Ukaibuka nikasema we noma
Ile kufika ukasema una njaa
Makuku masoda ukafakamia
Nilijikaza nilipata hasara
Haiku ishia hapo chumba nikalipia
Kufika ndani umelala chali
Huchumi tembele wala dog style
Ule ufundi vipi kwani
Umenitia hasara i swear sikubali nataka pesa zangu


Sikubali
Nirudishie nauli yangu
Sikubali
Mi nataka pesa zangu
Sikubali
Nirudishie nauli yangu mama
Sikubali
Sikubali


Ulisema unakuja ukaja
Ulisema ntakushika mapaja
Ulisema ntakufanya kila kitu nnachotaka sasa mbona unanibana bana
Unasema et nikuonee hurama e
Najikoni umeagiza nyama
Sasa twende tu mama
Sichukui mda mbona chap tu mapema
Basi rudisha hata nusu hasara tuendelee kuongea
Kwani nilikuita uje kula tu na kwenda chooni kujisaidia
Nishapaka vitu vyangu mixer kilemba alafu unanigomea
Ikifika night hapa utoki subiri tu utajionea
Unajua nimetumia kodi ya nyumba alafu unaleta ujinga
Ushakula fea ushakula kuku basi kuwa ata fear
Hiyo ten unaona ndogo we hujui jasha nlotolea e
Namuitw mjumbe nafungua kesi na baba ako nampigia


Sikubali
Staki matatizo na wewe
Sikubali
Si ulisema ndani show show
Sikubali
Mbona naona mazingzong
Sikubali
Sikubali
You can call me zuzu

WRITERS

Wambaga, Ibrahim Mwambogoso

PUBLISHERS

Lyrics © Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other