Sema uuuuh uuuuh wiiiii yaa yaa
Cheza doba zi tu nice, Ju zetu zime nice
Sema uuuuh uuuuh wiiiii yaa yaa
Kwa Majina ni Iyanii (nayo) Tunakujua !!!
Cheza doba zi tu nice Ju zetu zime nice
La la la ako ka peng nika area
Na kakitaka me huichapa (chapa)
Sit don Pon it nkirusha mamistari
Viungo we nengua, mwili hatari
Whine n coach nishikishe mali … (yee yee)
Twende maeneo, chuma ilale ndani … (mmmh)
Iyanii bad boy kijana wa ingo
Napenda njugu na Mukombero
King wa ma style napenda mastingo
Kifo cha Mende ama Wagido
Uuuuh uuuuh wiiiii yaa yaa
Sema uuuuh uuuuh wiii yaa yaa
Maji imepatana na wire ya stima
Hata haya sina, naipiga ki John Sina
When I'm done you can't see me
Unaishi wapi yahaya (aaaiii)
Nyash yake soft kama mattress
Naipapasa inanitoa stress
Na majirani wata witiness
Iyanii bad boy kijana wa ingo
Napenda njugu na Mukombero
King wa ma style napenda mastingo
Kifo cha Mende ama Wagido
Sema Uuuuh uuuuh wiii yaa yaa
Aaaahhh …. Wachaa bana ….
Pull Up …. Manake …. Rudia tena !!!
Sema Uuuuh uuuuh wiii yaa yaa