LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Diamond

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Jay once again

Mmmh
kuidhulumu nafsi sitaki,
penzi la ukakasi sitaki
Mi najua mna upendo wa dhati,
Sa kwanini niingie kati
Mioyo yenu ipeni nafasi,
Muinywe kwa uhuru sharubati
Penzi lisiwe la hisabati,
Mpaka muushangaze umati yoooh


Apendapo maulana basi na mm,
Nipate wa kushibana
Halafu nyinyi cheki mnavyopendana
Si kwa matendo,
Kwa ishara tunaona


Aaah penzi lenu,
liwe kisima cha upendo
Ololoo maah liwe la shine like a diamond
Wanga wakae mbali,
Liwe kisima cha upendo
Ololoo maah liwe la shine like a diamond
Diamond


Aaaaaah ooooh aaaah
Mapenzi sio ya kulazimishana
Wanaopendana kuwaachanisha ni laana
Angalia macho yao
Mazuri yanavyofanana
Na watu wasiopendana
Utawapata wakishindana
Yapo kama maua, kuna muda yatachanua
Mtashindwa kutambua,wapi linapiga jua
Mapenzi kitumbua, mchanga msije tia
Waacheni wamekua,sisi tuombe dua aaah

Aaaaah
Apendapo maulana basi na mimi
Nipate wa kushibana
Halafu nyinyi cheki mnavyopendana
Si kwa matendo kwa ishara tunaona

Aaah penzi lenu
Liwe kisima cha upendo
Ololoo maah liwe la shine like a diamond
Wanga wakae mbali
Liwe kisima cha upendo
Ololoo maah liwe la shine like a diamond
Diamond
Diamond x3"

WRITERS

Sharif Saidi Juma

PUBLISHERS

Lyrics © Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup Icon
Theme

None