LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Gagaziko

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Nishaonekana bwege jinga jinga
Mpaka napewa lawama eti naringa

Na penzi kama la zuchu na diamond simba
Challenge za kupendana mbele ya ndinga

Kwa mara ya kwanza napata gagaziko
Kutwa namuwaza sijipi mapumziko
Akinikumbata moyo kama mdundiko
Na raha nnazopata kama niko paradiso

Yanaitwaje
Yanaitwa mahaba niuwe
Yanaitwa mapenzi
Yanaitwa mahaba niuwe
Utamu kila siku

Yanaitwa mahaba niuwe
Yanaitwa mapenzi
Yanaitwa mahaba niuwe
Utamu kila siku

Taharuki kwenu msopenda kutuona
Penzi ng'aring'ari akikata mi nashona

Huba liko mbio kama tren ya dodoma
Nawapa habari mbona mtapata homa

Jii jii jaa, ju ju juu juu
Wana nyevua nyevua jamani wadudu
Ah jii ah jii jaa, ju ju juu juu
Yani kama watoto mara kanibuchu

WRITERS

Sharif Saidi Juma

PUBLISHERS

Lyrics © Vydia, Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other