Nikiulizwa nakupenda najibu
I love you nyang'anyang'a
Navyovitaka my boo nipe vyote
Au kambale nielee kwenye tope
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
We jua mapenzi yananiendesha
Izi fujo usumbufu we ndo unanipelekesha
Kama kuilamba kama kuing'ata
Vyenye unanipa ndo inanibamba aah
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
Siyawezi hayo mapenzi siyawezi
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
ila mwenzako ndo siwezi aiih baby"