LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Usiniache

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
kukaa mbali ndo naogopa,
Naogopa nitanyang'anywa
Kwa penzi lako hata kusota,
Yani nitasota nitanga'ang'ana
Kwenye hii dunia,heri ningekuona wakwanza
Haya ninayokuambia,natamani nishike kipaza
Kama mzigo umeniokota,
Kwa maana nilishatupwaga
Kuwa nawe nahisi ka naota,
Kwa jinsi unavyonipa
unavyonikoroga,ukinipa unipi mara moja
Ishhh!!Mara kwenye sofa,mara baby kalia kigoda
Oooh

usiniache mimi x8
Aaah oooh
Aaah oooh

Kama ni maua basi ua rose,penzi linameremeta
Nikikufikiria inakuja njozi,usiku mzima nakuota
Pendo lako noma lishanchoma,
Chaajabu yani hata siumiii
Masikio umetoboa ngoma
Maneno maneno wala sisikii
Oooh noo
Kama nikuzama nishazama,
Waje waniokoe na boti
Kwenye kina kirefu nshakwama,
Utulivu hata siogopi

Unavyonikoroga ukinipa unipi mara moja
Ishhh!! Mara kwenye sofa,
Mara baby kalia kigoda oooh

usiniache mimi x8
Hata nifanye nini usiniache mimi
Usiniache mimi ooooh ooooh
Hata nifanye nini usiniache mimi
Usiniache mimi oooh ooooh
Oooh once again x2
Nifanye nini
Yeep"

WRITERS

Sharif Saidi Juma

PUBLISHERS

Lyrics © Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other