aaah aaah aaah jay once again
Vimacho na zake lipsi,kumpata sio rahisi
Yani kweli mungu umenibariki,mimi umenibariki
Na kabla ya hii gift,ukatufanya marafiki
Mpaka sasa penzi liko lit,moto kiukweli
yani kama,nimeokota dodo, chini ya mperaah
Nimeokota dodo ,nasiambiliki
Hata kidogo, mwenzenu mimi
mapenzi gani haya anayonipa,
Mpaka damu nasikia inavyopita
Kwenye moyo mbio,kwenye mishipa
Au tuseme ndo kashanishika
Yani kama nimeokota dodo,chini ya mperaah
Nimeokota dodo nasiambilikiki,hata kidogo
Mwenzenu mimi,nimeokota dodo
Jamani wapeke yangu huyu,
darling yuko moyoni,navomuota usingizini
Jamani darling yupo moyoni,navomuota usingizini
Wapeke yangu (ooh nananaaah)
Jamani wapeke yangu huyu (mimi hapa)