Nipende mi jinsi mi nilivyo
I can't lie baby that I need yah
So many girls here but I see yah yeah
Ni wewe na mi hadi mwisho
Usitishike na hizo vitisho
Saa zingine unanifanyanya mimi sikutamani
Kwanza vile unajifanya eti wewe hujali
Nakufeel hii ni real yeah
All fine by me everything is fine by me
And if you wanna leave now