Leo nilikua nimechill tu kejani
Morio akanishow possibility
Weather inakaa ya mochability
Pombe inafanya niwe guilty
Leo nilikua nimechill tu kejani
Morio akanishow possibility
Weather inakaa ya mochability
Pombe inafanya niwe guilty
Mtoto hukuja na sahani yake
Morio alikuja na chupa yake
Sleep over alikuja na chali yake
Kanairo ukicheza utakua mwenda zake
Mochoa manzi anapenda kunywa gilbeys
Gin shots kidogo aitishe whiskey
Morio anataka nichome kidney
Tulifika hapa aje in the beginning
Beat inadrop inachapa ka omozigidi
Miondoko chapa odi ukizindigi
Piga hesabu body accountability
ama? I'm a boss kama riggy G
Rick ross photo shoot pale CBD
Nataka spot but yake huwa busy G
Leo nilikua nimechill tu kejani
Morio akanishow possibility
Weather inakaa ya mochability
Pombe inafanya niwe guilty
Pedi akitung'ora nakuanga controller
Najua chuom zote mbogi maexplorer
Whine your waist first na kisha umove slower
Bend your back fast na kichwa umove lower
Haga ni side to side maji leo ni kulowa
Morio anadai bite kama Wanyama wa night
Fisi na luku fisa na tiki zile za Nike
Beat inadrop inachapa ka omozigidi
Miondoko chapa odi ukizindigi
Piga hesabu body accountability
ama? I'm a boss kama riggy G
Rick ross photo shoot pale CBD
Nataka spot but yake huwa busy G
Leo nilikua nimechill tu kejani
Morio akanishow possibility
Weather inakaa ya mochability
Pombe inafanya niwe guilty