Yani toka Chini toka chini Baba umeniweka Pande Za Juu
Mavumbi umenifuta umenifuta umenibadilisha muujiza huu
Yani mpaka wafitini wafitini wanapata presha imekuwaje huyu
Kila walopanga walopanga kunisambaratisha ni wanafeli tu
Nimekupata nimejipata eeeh
Walonikataa wananitaka eeeh
Olu Olu wonderful Lord aaah
Kuna watu wangekuwa Mungu aisee ingekuwa kimbembe
Majina yetu wakina sisi wengine wangepiga kiwembe
Ila we Baba unavyogawa mibaraka hunaga Counselor
Huangalii sura unaona mtima unawachanganya watesi unawakera
Nimekupata nimejipata eeeh
Walonikataa wananitaka eeeh
Olu Olu wonderful Lord aaah