Eeeh Johmarley na were murah were murah
Mbuga za wanyama tanzania ya kwanza ni Serengeti basi sema baby we unataka twende wapi
Mbuga za wanyama tanzania kuna ngorongoro na mikumi
Basi sema baby we unataka twende wapi
Bado najichanga alafu siku ndo kesho
Si unajua baby kwenye my life you so special
Nanilivyo panga nitakupa potential
I’m on my way i wanna take you vacation
Kirimanjaro mikumi we gospending day and night
Tena uvae vizuri taking pictures day and night
Mbuga za wanyama tanzania ya kwanza ni Serengeti basi sema baby we unataka twende wapi
Mbuga za wanyama tanzania kuna ngorongoro na mikumi
Basi sema baby we unataka twende wapi
Mbuga za wanyama tanzania ya kwanza ni Serengeti basi sema baby we unataka twende wapi
Mbuga za wanyama tanzania kuna ngorongoro na mikumi
Tukitoka serengeti ntakupeleka Zanzibar
Bado nazi meki mpunga ujae kibaba
Nikununulie mazaga utakua happy sana
Nikuzumgushe tanzania ooh my lov oh