Hauskii kuna Scammer kwa bukla
Design hizi chupa zinashuka
Design hawa wasupa wanakuja
Hauskii kuna huh, hauskii kuna eh
Hauskii kuna Scammer kwa bukla
Design hizi chupa zinashuka
Design awa wasupa wanakuja
Walai me nasema nmeshtuka
Akilalisha mbleina tundura tundura
Ako na thutha huyo msupa msupa
Kitu anataka joh nanunua nunua
Sa me naswipe juu sifeel unlucky
Mkono juu ya hewa ukiscam somebody
Paxful lick sireturn hio ganji
Giftcard mob nimebless my charji
Mkono juu ya hewa ka unajua fake message
Gas station me nadance mpepe
Ps nilihire kwa Bnb nikabeba nikitoka
Mara ngapi uber imenitoa scene nimetoka kuigonga
Hauskii kuna Scammer kwa bukla
Design hizi chupa zinashuka
Design hawa wasupa wanakuja
Hauskii kuna huh, hauskii kuna eh
Hauskii kuna Scammer kwa bukla
Design hizi chupa zinashuka
Design awa wasupa wanakuja
Walai me nasema nmeshtuka