LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nafsi

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Mawazo mawazo mengi zimenijaza
Mpenzi mpenzi ulinitoroka
Maelezo maelezo mengi mi nataka
Jamani unataka nini kwangu
Dakika dakika nyingi zimepita
Hakika wewe hujabadilika
Dakika dakika nyingi zimepita
Hakika wewe huna nafsi yaani
Hunana hunana hunana huna nafsi
Hunana hunana hunana huna nafsi
Niliomba yote yatakuwa ndoto kwangu
Niamke kando yako nikitabasamu
Lakini huna utu wewe fisi
Banange unataka nini kwangu
Dakika dakika nyingi zimepita
Hakika mimi nimebadilika
Dakika dakika nyingi zimepita
Hakika wewe huna nafsi yaani
Hunana hunana hunana huna nafsi
Hunana hunana hunana huna nafsi
Kosa langu ni kukupenda
Bila kujali ulichotenda
Kizuri chajitokeza
Kibaya chajitembeza
Tembea
Dakika dakika nyingi zimepita
Masika zimebadilika
Dakika dakika nyingi zimepita
Hakika wewe huna nafsi yaani
Hunana hunana hunana huna nafsi
Wewe huna nafsi yaani
Hunana hunana hunana huna nafsi

WRITERS

Peggy Kaaria

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Sadness

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup IconThumbsup Icon
Theme

None