Kama kuna mtoto ako single
Just let me know niko single
Yes i want somebody to love me yeah
Sidhani kama ntabaki hiivi
Maana hata me napenda vibaya
Im crazy ,mwambieni atakae kuja kwamba
Na sioni kama ntabadilika
Im crazy in love i feel so crazy ooh yeah
Kuna mambo mengi wameniita mimi na sijali
Nishaitwa chizi freshy naona kama niko busy
Na mengiii ,sipendi umbea sana mimi sio mlevi
Ila ukinipenda ntakuwa chizi kinoma na
Sidhani kama ntabaki hiivi
Maana hata me napenda vibaya
Im crazy ,mwambieni atakae kuja kwamba
Na sioni kama ntabadilika
Im crazy in love i feel so crazy ooh yeah
Pombe sigara na weza wacha lakini
Waschana waschana aaa oooyeah
Im crazy ,mwambieni atakae kuja kwamba
Na sioni kama ntabadilika
Im crazy in love i feel so crazy ooh yeah