LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Ashajua

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Gjyeah gjyeah gjyeah gjyeah gjyeah
Just another one razy like the other one
Ah

Vile unadhani wee ni mjanja unafanya vitu chini ya maji
Alikuwa ashajua
Vile unadelete sms za kuflirt na wasee ei
Alikuwa ashajua
Vile unamuambianga asicall acheze tu na whatsapp its safe
Alikuwa ashajua
Sikuhizi anajifanya tu fala but just know
Alikuwa ashajua

Ilianza siku tu na ye ulichoka
Wiki mbili pita hakuna hata busu moja anajua
Vile ukijiskia unanyonga
Saile ye anataka ushakuwa mnyonge anajua
Vile ukona ka mumama anakupeanga ganji
Huku unashow wife ni kazi anajua
Vile unamuambianga sorry i dint see your text
Na ulikuwa unatext mwingine anajua
Hivo vile unaona ye si wa maana
Ndio vile mwingine anatamani kumpata na anajua
Leo unajibamba kesho karma itakushtua
Hii love ishadie na unajua anajua

Vile unadhani wee ni mjanja unafanya vitu chini ya maji
Alikuwa ashajua
Vile unadelete sms za kuflirt na wasee ei
Alikuwa ashajua
Vile unamuambianga asicall acheze tu na whatsapp its safe
Alikuwa ashajua
Sikuhizi anajifanya tu fala but just know
Alikuwa ashajua

Ilianza siku tu na ye ulichoka
Siku ulicheki wengine ukaona ye amechapa anajua
Akiwa mnaughty na we unamkataza
Ukiambiwa same na wengine unablash tu sana anajua
Vile ukona spouce wa insta
Unaingiaga kwa page yake na kujishika anajua
Vile ukona mwingine wa whatsapp
Unamtumianga zile mapicha ngori asap anajua
Vile keja unajifanya umenuna
Ukienda baze unacheka na kuflirt na mpango anajua
Vile nyi humada shughli kwa gari
Ukifika kwa bed unamshow umechoka Anajua

Vile unadhani wee ni mjanja unafanya vitu chini ya maji
Alikuwa ashajua
Vile unadelete sms za kuflirt na wasee ei
Alikuwa ashajua
Vile unamuambianga asicall acheze tu na whatsapp its safe
Alikuwa ashajua
Sikuhizi anajifanya tu fala but just know
Alikuwa ashajua

WRITERS

Kenneth Aketch

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Sadness

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

None