LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Jawa

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Swahili beatz
KAJORO
Chama boy is your boy

Ja jaja ja JAWA
Hatu ja jaja ja JAWA
Hatu ja jaja ja JAWA
Hatu ja jaja ja JAWA

Awe ! Hasara roho pesa makaratasi eeh
Wanaumia roho tukipata wanatugasi
Aehee ! Mungu hamtupi mja wake
Tunazidi chakalika
Kimfaacho mtu chake
Tukizipata tunatoka


Japo hawa tuamini eeh!
Tunajiamini wenyewe
Ah ! Japo hawa tuthamini eeeh !
Tunajiamini wenyewe

Kwamaana aah !
Haya yote ni maisha
Ndo maisha
Maisha ya kiduniani
Kwamana aah
Haya yote ni maisha
Ndo maisha
Maisha ya kiduniani

Yeah ! Ndo hatujali jaa!
Hatuwazi waa !
Hatujali jaa !
Hatuwazi waa! JAWA
Ja JAWA
Jajaja ja JAWA


Hao hao wamejazana kama nzi
Kwenye mapenzi ya watu
Baby mwaga chumvi mwagaa !
Shombo liwakele watu
Ukipata kidogo hawalali wanaongea
Mungu hana zogo kwamafungu anatoa
Toa kila mmoja na bahati yake


Japo hawa tuamini iih
Tunajiamini wenyewe
Ah! Japo hawa tuthamini heee!
Tunajiamini wenyewe


Kwamaana aahaah!
Haya yote ni maisha
Oooooh maisha eee
Maisha ya kiduniani
Oooh AAAH!
Haya yote ni maisha
Mmmmmh!
Maisha ya kiduniani

Yeah! Ndo hatujali jaa!
Hatuwazi waa !
Hatujali jaa !
Hatuwazi waa! JAWA
Ja JAWA
Jajaja ja JAWA

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other