Swords darts and a silent Mac
Ofcourse nime carry ki fe
But no heat on me no evidence
Charm jaba na ndom ndo trend
Lazma utaspend tukipatana hio bend
Aste aste ka ni ganji chap chap
Hizi sidez blade hu sha sha
Ka snow uta trip tuki crack
Oya check your color my blood
Blue never bleed, always black
Check tone ukibonga na me
Si hu do biz ya Doobies goodies
Swords darts and a silent Mac
We rock hio blue lakini ensure hio gang ni true
Vile si hu Crip itabidii unafanywa cripple
Utahandwa na shiv skeng ama sickle
Mafala hufanya ma boy wana sizzle
Ka ni scene itabaki ume handle
Kiu waka gizani kwa choche
Tuki try your hood inafanywa coup
Yaani mmoja aki mblein anafanywa na nane
Mboka inafanya mbangaa ana sneeze
Sensi ndo inaekanga peace
We ni fish kwa hii sea mi ni dawg hii city
Ukibonga mingi mi nakam fishing
Ati kunja tucheki nani bazuuu
Niki cock una go down simping
Sijui mbona that boy been tripping
Tuki ku kazia life unaenda loo