LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Watu Hawaangalii

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Watu Hawaangaliii
(Richiiiiiiiii)
Watu Hawaangaliiiii

Unabeba Nondo
Unavaa Singrendi
Watu Wakuone
Watu Hawaangaliiii
Unaenda Coco Unanunua
Mishikaki Mingi
WatuWakuone
Watu Hawaangaliiiiiii
Ukitua Kidimbwi
Hennessy Kama
Zote Watu Wakuonee
Watu Hawaangaliiii
Kujifanya Ginimbi
Fujo Zote Zote
Watu Wakuone
Watu Hawaangaliii


Inaumaga Iyooo

(Watu Hawaangaliii)

Inakeraga Iyoooo

(Watu Hawaangaliii)


Watu Hawaangaliiii
Watu Hawaangaliiii

Photoshoting Laki
Location Laki Picha Like 30

(Watu Hawaangaliiii)

Umetafuta Kiki Ukapata
Kiki Umepost Kiki

(Watu Hawaangaliiii)

Unawowoo Unatingisha
Ili Wakuone

(Watu Hawaangaliii)
Umeazima Gari Pamba
Kali Vioo Viko Chini

(Watu Hawaangalii)

Unapisi Kaliiiii Umeshona
Nayo Sare Juu Mbaka Chini

(Watu Hawaangaliii)

Nimepambana Nimeimba
Nikashot Na Video Link
Ipo Kwanye Biooo

(Watu Hawaangaliii)

Ivi Watu Mnanini
(Watu Hawaangalii)
Jamani Watu Nyieee
(Watu Hawaangalii)
Kwani Mnataka Nini
(Watu Hawaangalii)
Au Nivujishe Pilau

(Eeeeeeh)


Watu Hawaangaliii

Watu Hawaangaliiii

Inaumaga Iyoooo
(Watu Hawaaangaliii)
Inakeraga Iyooooo
(Watu Hawaangaliiii)
Inaumaga Iyooooo Inakeraaaaaa

Inaumaga Iyoooooo Inakeragaaaa

WRITERS

Richard Oscar Mwakisu, Justin John Mwagachi

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other