LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

WAITE (feat. Salmin Swaggz, Blesser, Orbit Makaveli & Buju Millz)

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Maddoh yeah yeah
Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na waite, waite, waite
Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na walete, walete, waite
Waite na na na na weh

So nilikua naenda home kulala simu ikaita
Naambiwa kuna chimbo flani, these niggas bumping the speakers
I told em nipe, kama, 30 minutes, mi nafika
Twende speed kama pipa, nije na Benz nije na pickup
Na niko na wana kibao mistari kibao zinakata hiccups
Hatuwezi kushindana nao, wengine ni hao ndo wanatapika
I didn't come for the liquor, party mpaka kuniwika
Pesa mtu anashika, sioni kilichoandikwa
Waite waambie kumejaa kinoma
Sionekani so nawapa special service ya kuniona
Waambie ndani kumeshona anayebisha atakuja kuona
Bitches dropping up in phases ka corona

Waite waje kati kama vip yeeh
Kula bata mwisho fainal uzee
Usimlete demu wako kama mfukoni ushe ushe
Tunakiwasha hata sheli feeling like Tunchy eh
Nikitoa hizi bars kwa beat marapper wanapata wasiwasi
Ukweli ni wazi ni kazi kuhit kupata nafasi ya dwasi
Naitaki uniulize maswali ya kiwaki ya kwamba napata napata shing ngapi?
Na ndipo utajua Whitedent ni dawa ya meno ama kwetu ni dawa ya mswaki
When we flex with no mercy where we spend is full of cash
Where we chill its all fresh put ur breathe on the desk
How about the money is not case
If you get noticed get lost don't be chased it's goin be worst

Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na waite, waite, waite
Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na walete, walete, waite
Waite na na na na weh

Started from the bottom now we here nigga
Ride around the city with no fear nigga
Haters wanadai najiskia nigga
Kisa sina time I've been grinding every year nigga
Pull up in a new beenz, with some new chains
Big ass slim waist thats my new bae
Got my drink in my two steps usiniguse
Hizi stimu nmelipia rusha nikunyuke
Staki dharau spendi ujinga
Wakali wao kwangu makinda
Hadi makwao mninja natimba
Labda wanifunge tata madiba
Vitu kibao nimeshatinga, mafia kama mkinga, na wanangu tunashinda
I wish a nigga would, ili nipasue timber

Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na waite, waite, waite
Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na walete, walete, waite
Waite na na na na weh

Ogopa matapeli wana wapo OG
Tushasahau kufeli siku hizi tupo kisomi
From the hood Salasala boy kama hunisomi
Ni Buju Millz bhana nigga you are already know me
Aah, wana wameshawaka roll da paper
Yeah aah, kutubu hakuna huku mwendo wa mateka
Kuforce na force kazi kikosi mida ya kucheza
Na wanangu wa nazi nazi Maddoh boy na Bobo fleva
Look around nigga halafu hate it what u see
Kimewaka wameshawasha tupo kwa TV
So yeah yeah, day day, wild and Free
Tuko pair pair dont even think to mess na me
I'm in the mood man, I'm in the mood
Eti hawatujui man, hawatujui
Hivi hauko kwa news man, hauko kwa news
Embu achaga upuuzi man, acha makuzi

Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na waite, waite, waite
Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite
Waite na na na na walete, walete, waite
Waite na na na na weh

WRITERS

Abdul Msiku, Salmin Kigondo

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other