LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Ukuni

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Uzuri wake na heshima Tabasam lake linanikosha mutima Dibwini kwa kisima sio kichwa nazamisha mwili mzima
Mtoto yuko sexy sexy sexy divana ananitoa Streass streass kumuacha hapana Kama chenga na messi messi tulivyo gandana asa jazaneni gesi gesi mtasubiri sana

Yuko mwenyewe ila kama wako kumii Iyo milele kama uringo wa ngumi kanisahaulisha mambo ya sabuni avyo kata kata kata huo ukuni

Yuko mwenyewe ila kama wako kumii Iyo milele kama uringo wa ngumi kanisahaulisha mambo ya sabuni avyo kata kata kata huo ukuni

Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaah ananimalizaa
Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaa a aaah

Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaah ananimalizaa
Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaa a aaah

Sina gari wala nyuma wenyewe simnaona
kaz yangu ni kuimba ila bado ananipenda mashallah aah

Nikipata ninaleta mezani
Nikikosa anajilaza kifuani
Karidhika nimeridhika nae
Sihitaji mwingine No noh no

Yuko mwenyewe ila kama wako kumii Iyo milele kama uringo wa ngumi kanisahaulisha mambo ya sabuni avyo kata kata kata huo ukuni

Yuko mwenyewe ila kama wako kumii Iyo milele kama uringo wa ngumi kanisahaulisha mambo ya sabuni avyo kata kata kata huo ukuni

Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaah ananimalizaa
Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaa a aaah

Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaah ananimalizaa
Ananimalizaah ananimaliza
Ananimalizaa a aaah

WRITERS

Baraka Bukuru

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup Icon
Theme

Sexual