Sare sare sare oya wole ooo
Sare sare sare oya wole ooo
Uko fiti ju Bado huja Legeza
Nakumbuka kitambo niki shuku
Umeniweka fiti ju bado nakula kuku
Rada Safi imani na pigania
Umeni weka fiti najenga mia kwa mia
Ku chonga tuna fika Nigeria
Rada iko Safi ju Bado we uko area
Ita bidi wajipange vitu risky
Ni Mungu pekee wata thani ni Nyashinski
Tukitema wata thani Kuna mvua
Sare sare sare oya wole ooo
Sare sare sare oya wole ooo
East na West Nasara Maluda
Maikon West wahala hakuna
Ayala na maji namsaka na pupa
Uzima na taji napata kwa buda
Mistari kali vocabulary so intentional
Ni Jemedari Rabani daddy so dependable
Mizani kwa fani chapa kazi not debatable
Grafted in the family Rabuka so relatable