Nime kula digida munde so lazy fahm
Husitry kuleta beef huezi slide
Naskia ulikulwa uka kula io dive
Tuki link up nda uliza unatutema, why
Nimekula digida munde So lazy fahm
Husitry kuleta beef huezi slide
Naskia ulikulwa uka kula io dive
Tuki link up nda uliza unatutema, why
Ni wangapi nimedunga dagger
Gizani biz marapper kuwapora
Na muache kushinda kama mume paraaara
Karma ka niswara bado me nangoja
Ni wengi nime do ma wrongs pale khoja
Msupa alinitoka juu ya kushinda nime choma
Either way nili fall in love na ndenga na kiboza
Nime kula digida munde so lazy fahm
Husitry kuleta beef huezi slide
Naskia ulikulwa uka kula io dive
Tuki link up nda uliza una tutema, why
Nime kula digida munde so lazy fahm
Husitry kuleta beef huezi slide
Naskia ulikulwa uka kula io dive
Tuki link up nda uliza una tutema, why
Siku njema huonekana opp akitetema
Alilazwa pema, huo boi alijiona rema
Alitry kuhepa, ikabaki joh amehema
Wakiskia shawn hawa marapper huteveva
Hop on a beat inabaki wamehepa
Brought a new sound na bado wanateta
Wakisound same sahii na wa coach ka Arteta
Lost in my zone sina time ya mahater
Usinieke debate za nani ndo greater
Design nimepaka utadhani mi painter
Na sidai calls ima talk to you later
Alinitaja kwa song kumbe alichokoza beast
Huyo boy kwao hujifanyanga don
Ukidai beef jua, hii geri ni wrong
Already wanajua, tuli up the score