LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Mambo Ni Marefu

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
The shorter the monkey, The longer the tail
Kwa ufupi, Mambo ni marefu
Mambo ni Marefu, Mambo ni marefu
Kwa ufupi mambo ni marefu

Kalikamata maken'gele',
Aka pata kitu fupi ni nywele,
(Mambo marefu)
Usi zime za zama zile,
Get loose, ma Bele, ma Kabasselle,
(Mambo marefu)
Masianda za Mirema na utukutu,
Wametuzidi huku na tu kutu,
Dem ni supuu, Onlyfans tu, Book tu,
Hawajavaa kitu, in short ni tupu,
Mambo ni ma long,
Uko na msupa mi niko na Nia Long,
Na vile ana nicheki,
Ni kama ana nia wrong,
Ana dai don'g, ring din'g-ding-ding the don,
Uli come naye but saa tunaenda home.

Refu zaidi ya kamba
Cheza ka kinanda
Siendangi gym lakini bado nimejaza
Walaze kwa kindata na mistari sick
Saii me ndo doctor manifa nawa treat
Mad G kama nimepatana na Rezy ndalinki pia sosuun
Kublow ka ki bomb si mbali pia ni so soon
Na mandranya kuwateka eeehh!
Na manifa nawapenda aaaah!
Deila si nikusaka mareka
Jan adi Dec kila siku za calendar
Nipate tu kwa Mavo nikiangusha ma hit
Zetu zetu hizi si kadeila tuko lit

Lion king nina fimbo mi Rafiki,
Ashatuma hela bana? mbona haifiki?
Sai ni ngoma tu kubamba mashabiki,
Na lazima zikuje mbili mbili ka mati*....
Hii ndio doba ya Kenya ki zetu zetu,
Inapatikana kwanza kwa vilabu kwetu,
The Shorter monkey, ameteka dada wetu
Eh anataka maliza muschana wetu
Mambo ya watu Ondokea utakula kidevu,
Ako sawa hapa but nyumbani mambo refu
Umemada biz but promoter ni junkey
Wacha shortcut , Piga lap ju...

Tik tok gayal tik tok
Niko na stick proper Stck proo
Tuko Riko Tunapika hitsong
Zimeriet zimekanashi za kiamako
Ni WaGenge Kwa jikoni
Na tukidrop kama kawa uwaga ngori
Buda Chunga Your denge asininoki
Huku mambo ni konki naeza pigishwa co
Unaeza niita mbilikimo mkora
Wamezubaa wanashangaa niaje niliwapora
Na Tumeland Wanisa watie fora
Zinakam kukam Sing Along na hii chorus

WRITERS

MARVIN ABWAO

PUBLISHERS

Lyrics © Universal Music Publishing Group

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other