Gal ume tight kwa one kiss
Kwa hizo zako pozi na tactics
We can spend a night if you like it
Bingwa wa kuchapa na kutamani (No Love)
Mwendo wa kuchapa nje ndani
Muda wa kuchuma hayo matembele
Hata ikiwa ndombo nikipeleka kizani, naparaza
Leta zile mbwembwe yani mpaka mambo flani ya kitanga
Najiona nipo fresh nipo fresh
Nyonga nyonga kwa ku press kwa ku press
Mama we ni bless we ni bless
Kwa manjonjo njonjo kanawaka
Hata kama nikiporo nakapasha yaaah
Kanautamu wa halua na kashata
Muda wa kuchuma hayo matembele
Hata ikiwa ndombo nikipeleka kizani, naparaza
Leta zile mbwembwe yani mpaka mambo flani ya kitanga
Najiona nipo fresh nipo fresh
Nyonga nyonga kwa ku press kwa ku press
Mama we ni bless we ni bless
Huko nipotoka nishamaliza
Toka Arusha nikilaza mpaka kikatiti
Kila dem nikipita kusimama ni matiti
Sikamatiki na kuning'oa ni kama nikisiki
Kama ilivo kila beat nilivo sishikiki
Nacheza blues nacheza salsa
Nacheza rhumba nacheza samba
Nachana ngumu nacheza vanga
Na nikipita kila mchumba nikumlamba
Najiona nipo fresh nipo fresh
Nyonga nyonga kwa ku press kwa ku press
Mama we ni bless we ni bless
Muda wa kuchuma hayo matembele