LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Mavita

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Chorus

Kuna mtu najua mahali anataka kunitombea
Nakushuku we buda jamani unataka kunikosea

Verse 1

Cheki nitakuja na jeshi na
Na utadenki nkirusha mangumi na
Naja na becky na nasuka mabinti na
Vile ako sexy nashtuka nakimbia
Alllano brayo na pia kina cyprian
Wanatutapo na pia kutukulia
Ni fair kweli si fare brejin
Si fare si fare
Ananikalia nanusa nusa naanza kukaribia
Naguza guza naanza kulialia
Nashtuka shtuka vile Wendy weni player
Najua wrote wote wenye ulipea
Kwanzia david
Kwanzia wesley
Aki ni wengi
Aki siezi
Kwani ni deni
Aki ni kesi
Aki ni aki ni

Verse 2

By three
Itaweza kujipona
Mamiss na maskin wanaweza kunichoma
Aki nachelewa kukutoka
Ni help hiyo phone hiyo ngepa hiyo bling bling
Unaweza? Kwani utaweza? naweza kukukoma kukomesha hiyo titi
Naonyeshwa ady naonjeshwa head kwenye floor akipenda kwenye kiti
Tunaenda tunaenda kamakis
Kama ni kiss sina nge sina twaenda
Nani please Acha nge Acha za pesa
Wacha nge Wacha nge Wacha za pesa

Outro

Kwenda me ni Colorfulburg
Niite tena Colorfulburg
Sinanga Pesa najua kubrag
Naweza tenda mpaka tu ahh
Ah tu mpaka tu ah
Ah tu mpaka tu ah
Aha

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other