You know the trade is fare
Kuna muda wa Madeni kuna muda wa kulipa
Ukiambiwa bei ya iko fixed nigger huwezi kubisha
Sina muda wa kuongea sana , mtu wa vitendo kukicha
Ubaya nliouacha usiutafute , Utakuja kufikwa
I’ve seen hell out of life, obim buzi obi agu
Seen night in broad day light n’ime obi agu
Burnt my way home enwerom ike ila azu
And Instead of me to loose nwanne nga egbu o agu
God is my father mana afubem ya one on one
But I’ve seen devil lots of time eye ball to ball
Shaking hands with demons God never sleep on us
Mmee nkem ga emenwu make rest of the matters sub
Okwa Egwu anyi gbachago ka aga na agu the scores
You know the trade is fare
Kuna muda wa Madeni kuna muda wa kulipa
Ukiambiwa bei ya iko fixed nigger huwezi kubisha
Sina muda wa kuongea sana , mtu wa vitendo kukicha
Ubaya nliouacha usiutafute , Utakuja kufikwa
Naambatanisha Maisha yangu Na MUNGU kwanza
Hata Mganga ANASALI kabla ya kukuganga
Jibanze kabla Stone halijaja kukubanza
Dunia Sio salama , kwa Usalama wako kwanza
Historia ya AY ndo Imefanya tukamwita Masta
Tukumbuke utu wema kabla ya kufunga chapter
Nje unaniona Ni Rapper ndani mi pAster
Hii ni bongo To Nigeria Na Cameo Huzla