LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Usinikatishe Tamaa

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Sun V on the Beat
Nimeaga nakuja kutafuta
Kurudi ni maiti au na fedha
Ukiniona napambana sana
Usishtuke nyumbani hali mbaya

Usinikatishee tamaa najitafuta napambana
Kama wewe ulishindwa usidhani nitashindwa
Usinikatishee tamaa anaepanga Mungu baba
Hakuna marefu yasokwisha hili nalo litapita

Usinichukie usinifitinie yani bora unisaidie
Usiniroge bora uniombee
Ukipewa shida zangu utakufa we

Ukitaka uuone utamu wa ngoma ingia ndani na wewe uicheze
Kisa sina unaniita mzembe napambana hata Zaid Ya wewe

Ukiniona nafanya Kaz ambazo huwezi fanya wee jua life is not fair
Ukifanikiwa haraka jua Kuna wengine hali mbaya sio poa

Pesa halali
Eeh
Nyumba kali
Eeh
Vyote nitavipata
Matatizo
Eeh
Shida shida
Eeeh
Zote zitapita

Napambana hadi waliosema sifiki mbali waseme walitania
Sishindani nao nashindana na hali yangu kesho iwe bora

Usinikatishee tamaa najitafuta napambana
Kama wewe ulishindwa usidhani nitashindwa
Usinikatishee tamaa
Anaepanga Mungu baba
Hakuna marefu yasokwisha hili nalo litapita

Naish maisha yangu walasikusumbui hata sijawah kukuomba
Namwamini Mungu wengine siwaami sicheki nao wengi wana roho mbaya

Silaha za maadui wangu nazi fanya ngazi
Hamtish aisee
Sichoki silali Nikilala macho wazi
Napambana aisee

Afya nguvu ndo mtaji wangu usijishindanishe na mimi

Urithi sina kwa wazaz wangu wao wanitegemea Mimi

Usinikatishee tamaa najitafuta napambana
Kama wewe ulishindwa usidhani nitashindwa
Usinikatishee tamaa Anaepanga Mungu baba
Hakuna marefu sasiyokwisha
Hili nalo litapita

Mixboe

Una-enjoy?

WRITERS

Noel Visent

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Political