LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Mapenzi Yananitesa

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Ahh Vitamin Music Forever
Vitamin, yoooh

Jamani mimi mapenzi, mapenzi (mapenzi)
Mwezenu yanani te, yanani tesa (mapenzi)
Jamani mimi mapenzi, mapenzi (mapenzi)
Mwezenu yanani te, yanani tesa (mapenzi)

Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa naye
Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa naye
Yeeeh

Kwa ajili yake mimi napambana
Minapigana na watu road, kutaka kuana
Kwa ajili yake mimi napambana
Minapigana na watu road, kutaka kuana

Eti kisa sina kitu, mpungufu, kapuku
Mwezenu nadhalilika sana
Mi eti kisa sina kitu, mpungufu, kapuku
Mwezenu nadhalilika mwaya

Acha nilie mimi tu, mimi
Mchumia juani, nitakula kivulini
Acha nilie mimi tu, mimi
Mchumia juani, nitakula kivulini

Alinionea huruma ni mama yangu tu
Nilipozidiwa, kichwa chini, miguu juu
Alinionea huruma ni mama yangu tu
Nilipozidiwa, kichwa chini, miguu juu

Jamani mimi mapenzi, mapenzi (mapenzi)
Mwezenu yanani te, yanani tesa (mapenzi)
Jamani mimi mapenzi, mapenzi (mapenzi)
Mwezenu yanani te, yanani tesa (mapenzi)

Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa naye
Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa naye
Yeeeh

Aaah mamaa, oooh
Mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
Mapenzi, mapenzi — nikisimama, nakaa
Mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
Mapenzi, mapenzi — natembea na chuchumaa

Name Hyped

Outro
Mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
Mapenzi, mapenzi — nikisimama, nakaa
Mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
Mapenzi, mapenzi — natembea na chuchumaa

WRITERS

RIFATI OMARY JUMANNE

PUBLISHERS

Lyrics © DITTO MUSIC

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other