Vitamin yooo Msomali hapa
Hata na mimi nabonyeza reli naitwa Meddy Voice
Na utajiri wa chini chini
sina uwezo wa change kanda mbili
Maisha yangu mi pusha sadali
Ila mungu kanijalia kipaji cha singeli
Hata kama muuni sina fedha
Isiwe chazo ukanitelekeza
Tudumu milele niitwe babu we ajuza
Honey mimi na wewe kama adamu na Hawa
kwa wenye maradhi penzi letu ni dawa
Honey mimi na wewe kama adamu na Hawa
kwa wenye maradhi penzi letu ni dawa
We ndio langu tunda la peponi
Usije ukanitelekeza twende peponi
We ndio langu tunda la peponi
Usije ukanitelekeza twende peponi
Na utajiri wa chini chini
sina uwezo wa change kanda mbili
Maisha yangu mi pusha sadali
Ila mungu kanijalia kipaji cha singeli
Ipo siku nitapata kipenzi usijali
Maana maisha magumu mwenyewe siunaona
Tunaeka ahadi hata kula wali nyama
Sio binadamu ridhiki anaota Maulana
Ipo siku nitapata usiwaze shinuna
Vumilia ipo siku na wewe uta enjoy
Zako za mtumba za dukani huvai
Isiwe chanzo ukaenda ukaniaga bye bye
Peke yako nakupenda mwengine sitoboi
Ukiniacha mi nitabaki goigoi
Honey mimi na wewe kama adamu na Hawa
kwa wenye maradhi penzi letu ni dawa
Honey mimi na wewe kama adamu na Hawa
kwa wenye maradhi penzi letu ni dawa
We ndio langu tunda la peponi
Usije ukanitelekeza twende peponi
We ndio langu tunda la peponi
Usije ukanitelekeza twende peponi
Kidole kimoja chawa hakivunji
Ndio maana nimeganda kwako
Yaani wewe unayajua mapenzi
Nainjoy everyday kwako sina wekeend
Kwako sina wekeend mamaaaaaaa
We tajiri pM,from Keko Furniture
Hata na mimi na bonyeza reli twende nao
Mwanangu dee smart kwenye cmu sikupati