Tangu nijuwane naweee nafarijika mwenzio
Tangu nijuwane naweee Yani naenjoy naenjoy
Yani weweeeh sikuachi leo wala Tomorrow
Zinawaumaga roho wanatamani tuachane hadi leooooo
Ila wambie you love me eeh I love you too mwenziooo
Unanipa raha iso na kifani
Nikikosa samani hny ni wewe ndo ulonijaa kichwani Yani upo ndani ndani Baki na mimi tu
Kipenda roooho umependwa na mooo moyo
Kwako nitakua looo loyal kipenzi wee
Tiba ya Roohoo umependwa na moyooo kwako nitakua loyal kipenzi wee
Babe ndakhuyanza babe ndakhuyanza
Babe ndakhuyanza ndakhuyanza ndakhuyanza
Babe ndakhuyanza ndakhuyanza
Embe Dodo Embe Dodo limelala mchangani
Embe Dodo Embe Dodo limelala mchangani
Kwa Hubaaa na mazoea uwe wangu wa mileleee kwa Hubaa na mazoea uwe wangu wa milele
Kipenda roooho umependwa na mooo moyo
Kwako nitakua looo loyal kipenzi wee
Tiba ya Roohoo umependwa na moyooo kwako nitakua loyal kipenzi wee
Babe ndakhuyanza babe ndakhuyanza
Babe ndakhuyanza ndakhuyanza ndakhuyanza
Babe ndakhuyanza ndakhuyanza