Naskia haaah! Hio ilikuwa ni CAP (naskia ni cap)
Naskia haaah! naskia ni CAP, Hio ilikuwa ni CAP, Bado hio ilikuwa ni CAP
Wasee wanachocha sana, wanabonga sana
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS

We ulicheza Vibaya na mlikuwa kwa trap mmeshona
Napenda wasee but roho inamove ka loner
Kuna side mingi we nishow ni gani yangu haujaona
Ndio nifike ofisi nilianza kusweep
The bean I'm rolling too deep
Mademoselle nimekuja na stick
Nilicheza chini na sibongi wakathink I'm weak
Kuna maplot sitakupa story but we juwa ni thick
Pot ilikorogwa mpaka ikapata ma shimo
Vitu nasaka we juwa abiro biro gi gino
Bado natry kuficha rada na hawajui nina-reload
Maisha ni fupi we juwa kuna vitu naoffload
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Like kwani hujacheki the facts,
Chumba cha ngoma we hitting the map,
Nakumbuka matime in the past,
Changa madoe ndio tuvute mashash,
Na saa hii nipate kwa bash,
Goro kwa shingo, mfuko ni cash,
Story ianze, hii ni katambe, hapa wasoro ni dash,
Mali ukipewa uchunge usibleki,
Shada ni foreign nataka kumedi,
Mali nikikupa utabaki umesteady,
Itabidi umeketi juu manzi wako hana sura na jegi,
Nigga you hating from out of the room,
Mi nimechill kwenye booth,
But After the session nipate kwa vroom,
Incase unawonder ni nini nadu?
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Eeeh juice, niko kwa blender
Niko na tender Mali ilifika na hamu ;
Plug amesoma story za vitabu...
Chumba Cha Ngoma ni kama filamu
Hawa Mablener return to sender
And if you a hater ill see you later
Ma ngapa ma ngapa on top of more cap
We don't need no haters we don't need pretenders
East Africa najua wataskiza
Asha ingine I'm not talking bout fegis
Ahead of the race and I'm keeping it steady
Niko mbele kama white na headie