Place Natoka (si uache niwashow )
Area Natoka (si utulie niwachapie )
Place Natoka (Relax nikushow )
Area Natoka (toka niwashow )
Place natoka si poa so siezi do reels
Nastack up mkwanja niache kuishi ndani ya grills
On my block unaeza nipata lakini sikuangi free
Appearance muunde lakini USD
Place natoka tunaishi single watu saba
Na anaku breadwinner me ndio mziza kwa dimanga
Na ukitoka ukirudi make sure umemanga
Anaku fancy shit apa n'pakulala
Place Natoka (si uache niwashow )
Area Natoka (si utulie niwachapie )
Place Natoka (Relax nikushow )
Area Natoka (toka niwashow )x2
Area natoka ni ya man eat man
Waufichanga dikwara ndani ya kanisa.
Na ukisnitch unamiss Kuna magicians.
Kila kitu ni ya orotha unaeza badilisha
si hurudi nyumbani kuhesabu mashillings
Chapanisha machine wateja walale chini
Ka si we ni mimi huruma ya nini
Place Natoka (si uache niwashow )
Area Natoka (si utulie niwachapie )
Area Natoka (Relax nikushow )
Area Natoka (toka niwashow )x2
Si kama kwenyu wanajishasha juu ya cannabis
Me ndo mwenye njia nishapave way ka nabii
Kumejazana mazombie na hapa hatuko 64
Hands in the air naiyo mongo kwenye Floor
Na nilikua nmewakanya ni ule boy wa 44
Hands in the air Na Na aaih
I've never seen an idle mind around me
Huwezi toka gethare na uhang na nambli
Nyi mkitokea shere kushow off mabling.
Make sure umetuck in. Otherwise RIP
hiyo ingine mwenye nguvu mpishe
wengine pang'ang'a za kike
Place Natoka (si uache niwashow )
Area Natoka (si utulie niwachapie )
Area Natoka (Relax nikushow )
Area Natoka (toka niwashow )x2