Ati Juja, kiamaiko lazima atadelay
toka rounda adi koja siwezi stay awake
Siwezi amini jamaa wa waiyaki way
Anaamini ati uthiru bado ni waiyaki way
Zo zoea aah mchezo wajiji x4
Nikawa high kushinda rooftop
Nikamnice na maungo za kasongo
Before nitoke nika msetia jongo
Naskia uko na Ywaya izo pande za
Ends on the map make sure
Napenda area yangu ata ka natoka block
Zo zoea aah mchezo wajiji x4
Farmers choice one is never enough
Nadai moja Detroit ka ule wa Big Sean
Roll sativa tuki brezzy like it's post to be
Ka ana thighland mbona nisimwage mandovu
Anadai ni apa lakini bado Sijafika
Itabaki nmesare leo leo kama E-sir
Anadai waba tu anadai kukatika
Nikupea nusu mita uenlarge itatingika
Kila hood kamegawa anakuanga generous
Itabaki kamechanjwa mpatie tetanus
Ye hunigeish kunigeish kunigeish
Ni lele waukam wakiwa mbwexe
Double trouble waukam mara mbwexe
Nimejazana kichele hawawezi kadeny
Zo zoea aah mchezo wajiji x4
Siwezi amini shawrie anatoka pipu
Ati ruiru, muthaiga lazimar ata delay
Ati 10 minutez na ako far away
Toka outer hadi grogon siwezi stay awake
Siwezi amini jamaa wa K-west anaamini
Ati kahawa bado ni westie