LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Toa

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Ugh
Back again you know
Kw
Mwanaa
Onetime
Ranjes on the beat

Za macho toa
Za hongo toa
Ndio panti ishushwe
Pia Inabidii umetoa
Za unga toa
connections toa
Ndio utoboe hii inadi
Inabidi umetoa
Za bouncer toa
Za waiter toa
Ndio mali ifikishwe
Inabidi umetoa
Black tax toa
Na utoe za mpoa
Ndio utoboe hii inadi
Inabidii umetoa
Ugh
Inabidi umetoa
Inabaki umetoa
To to to to to toa

Okay
Sina mambo nimemedi na anataka kuni(toa), Niko lonely at the top na sithani ata ni (toa) , Uyu mpoa jooh ako naggy so itabaki nime(toa) ,
Niko stu na mafans wanalia Ngoma(toa) , Nikipanda senke na metro na(toa) ,
Na Mpesa niko nunge fuliza na okoa
ay yo rude boy akuna kitu mi natoa
we umetoboa mapua lakini maisha aujatoboa .

Za macho toa
Za hongo toa
Ndio panti ishushwe
Pia Inabidii umetoa
Za unga toa
connections toa
Ndio utoboe hii inadi
Inabidi umetoa
Za bouncer toa
Za waiter toa
Ndio mali ifikishwe
Inabidi umetoa
Black tax toa
Na utoe za mpoa
Ndio utoboe hii inadi
Inabidii umetoa
Ugh
Inabidi umetoa
Inabaki umetoa
To to to to to toa

Aah
Usinieke kwa group ya harusi
Na ukidedi hutaniachia bibi
nikisema ati sina uanze matusi
Siongezi fulusi ata ka ni mazishi
nika nina deni ya kila mtu mtaa
Wakinisight must niache za lunch
Simu haitulii ni flight mode my crush
Nikifungua whatsapp ni hey do you have cash situmi washalearn kunitumia
Una shida nina shida tunapuliza gunia
Hii ni mambo ya dunia
Yako ukitumia Sitafuliza ayyyi

Za macho toa
Za hongo toa
Ndio panti ishushwe
Pia Inabidii umetoa
Za unga toa
connections toa
Ndio utoboe hii inadi
Inabidi umetoa
Za bouncer toa
Za waiter toa
Ndio mali ifikishwe
Inabidi umetoa
Black tax toa
Na utoe za mpoa
Ndio utoboe hii inadi
Inabidii umetoa
Ugh
Inabidi umetoa
Inabaki umetoa
To to to to to toa

Awa maboiz wananionea kila saa za macho, ebu pause na utoe ulicho nacho ,
reverse psychology nakutoka mambo bado, ebu songa kando ,usanii naeka kando.


Eeh tushamaliza hii studio
Hio Ep Toa

WRITERS

Dennis Wambui, Patrick Kanyinyi

PUBLISHERS

Lyrics © Kobalt Music Publishing Ltd.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsdown Icon
Theme

None