Mambo vipi boo, leo unajua ndio siku kuu
Mi na wewe Tu bila gwena la mtu
Mpango mzima ki utu uzima tunazuga debe
Biashara zote zimesimama niko na bonge la toto
niruhusu nikuharibu tabibu wa mahaba
na mabusu nikutekenye kabla unichoree saba
Special night ukibahatika utanibebea pacha
Mambo alright uko na mtemi valu valu wacha
umbo ka siafu mama Unanitia kichaa
Tuonyeshane uchafu mpaka Kutapokucha
Matandiko tuchane nyama ya ulimi tupeane
Joto tugawane vyumba vyote tubanane
Nishakula sana kwa macho leo ni siku ya kutafuna
Tujuane kiundani Mambo ya drama hapa hakuna
Staki kula kwa macho Leo ni siku ya kutafuna
Tujuane kiundani chumbani msamaha hakuna
Mahaba Hakuna vingine naweza sema
Ni Mahaba Hakuna vingine naweza sema
Tuwe hivi hivi mpaka uzee tukiwa wabe tutulize
Mola atujalie tuweze ndoto zetu tutimize
Wakutakao mate wameze Wachokoze mi ni chocheze
Kizazi safi tujaze Ukoo tuendeleze
Naachana na Chanda nikuvishe pete kidole kati
Ndio wakati wadaku wanadakua wanyooshe uwaonyeshe
Almasi hapo kati, Tena umepewa na mnati
unaempenda kwa dhati Ma groupie mi sitaki
wote nimepiga buti, nimetiwa wazim na kimwana aliyejaza booty
hawakufiki ka ni beauty, shAvu dodo mtanashati
chaguo langu na sijuti najua hili ni swala nyeti
unawaza kila ukiketi, Iko dhahiri
nakupenda sio siri, unafanya niwe jasiri
Ooh yeah na ndio maana nina kirii
Mahaba Hakuna vingine naweza sema
Ni Mahaba Hakuna vingine naweza sema