LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Raha

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Raha
Nina Raha
Nina Raha
Aaah Yeah nina Raha Buraha


Mzuka kama kalambwanda moyo hauna bugdhaa
raha nihisi haiwezi pimika mtemi nilishavuka
kufwatana fwatana lumbana lumbana
dhana nilipevuka,
cha msingi ni ubuheri wa afya iko shwari kimana najichanganya
kitu nafanya ni kile napenda si kubambanya
pokea Faraja ju Jah hamna siku hajajalia
angalia saa utajua hamna mida kujinunia
na nimetulia nikijiskizia Busy counting my blessings
Gat piece of mind aint stressing
kutoka nielewe raha unajipa mwenyewe
Sijawahi kubali nilemewe tena uaga sipendi mizengwe
Kitumbo ndii sina kinenge
Niko makini ju nina madini
Michano mashini na sina mpinzani
Mashavuni hadi mashinani wanajua Nafsi ni nani
naleta nuru gizani nawapigisha nduru hadharani
Ebwana naleta raha


Raha
Nina nina nina nina Raha
Hii feeling ninapenda hii feeling
Nina Raha
Aaah Yeah Kama moshi exhale mdomoni
Feelin Irie Feeling Irie
Raha Nina nina nina nina Raha
nina Raha
Hii feeling ninapenda hii feeling
Nina Raha
Aaah Yeah
nina Raha Buraha


Nafsi yangu iko huru
So excited nataka piga nduru
Grateful I n I am grateful
For the little victories
For telling my stories
Am grateful
Dunda na melodies
mziki fi de Soul nawapa neccesities
Hii potion ndio solution
Hii combo ngenje sio kombo
No more drama lakini Mary J ana serenade
Wenye chuki join the line waongezeke kwenye parade
Hatubadiliki tuna adapt
Katikati yao and thats a fact
Hatubadiliki tuna adapt
and thats a fact Yeah
Hatubadiliki tuna adapt
Hatubadiliki tuna adapt
Katikati yao and thats a fact
Na hatupimiki that is a fact
oooh yeaah


Raha
Nina nina nina nina Raha
Hii feeling ninapenda hii feeling
Nina Raha
Aaah Yeah Kama moshi exhale mdomoni
Feelin Irie Feeling Irie
Raha Nina nina nina nina Raha
nina Raha
Hii feeling ninapenda hii feeling
Nina Raha
Aaah Yeah
nina Raha Buraha

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other