LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Simba Wa Magongo

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Babylon tryna Gun down Youth hawaingizi njeve (oH yEAH)
Bad man ye we run town lazima tu tuzoze (aLL dAY)
Uptown mpaka down town yea we get down and we never back down

Show me the bag thats what we about
Don't want No clout Hatuuzi sura
F' all dat nawabana stura
Mbichwa tu hatugusi gura

Concrete jungle tunazurura, Huku kule tunachakura
Wanatutambua tunapekenyua, wameshapanua waliobana
Entrepreneur zote mi nachukua nasitaki jua nawabana
Show me the monyo nakwala - kuna monyo nakwala
Show me the Mulla nakwala - kuna mulla nakwala
Bora mtonyo mi ninazindonyo siskii porojo
na silazi bongo, nimekula usongo nikipiga michongo

uliza ni nani
Simba Wa Magongo


Lugha naongea ni ya kichaka, constant kukuru kakara
Daily mchaka mchaka, yaani ukizuba wanakubakura
Kuna mavibaka, wanataka kukuona umecharara
Mascavengers ukilemba basi, kwa fasi ya dwasi unapata hakuna

Unyama Unyama ni ka Marashi lawama
Ni Kupanga njama na kung'ata nyama ili Simba Ale
Lazma Swara Afe mbinde daily
Hutoboi kifefe, hutoboi Kifefe hawatoboi vifefe
Upendo bado tunadumisha, mbaya mbaya tunanukisha

Yaani uki tu cross umekwisha

Show me the vumba nakwala - kuna vumba nakwala
Show me the vumba nakwala - kuna guap mi nakwala
Bora mtonyo mi ninazindonyo siskii porojo
na silazi bongo, nimekula usongo nikipiga michongo

uliza ni nani
Simba Wa Magongo

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other