Nilikuomba beiby, uwe nami
Ulikubali beiby, kuwa mami
Beiby oh with you am loosing control
Beiby oh with you am loosing control
Amenifaa amenipa mimi faida
Kwenye penzi lake sijagwiba
Sihitaji mwingine wa kunipa tiba
Bado sijamwona mwingine atayenifaa
They can say am nothing to you
But you know I like to excuse to you
Wanijua, nakujua wewe wewe
Beiby oh with you am loosing control
Beiby oh with you am loosing control