Pisi kali umeumbwa ukaumbika
Mtoto mashallah nashikwa na butwa
Kigugumizi kinajaa ninapo kuona
Pisi kali umeumbwa ukaumbika
Mtoto mashallah nashikwa na butwa
Hizo dimples sinyorita utaniua
Ila siku hizi naona umebadilika
(Umebadilika umebadilika)
Nikikuuliza tatizo we upo kimya
(We upo kimya we upo kimya)
Eti unani bluetick mimi hutaki kureply
Unajiona kontawa mjini hutaki kureply
Huna wewe bila mimi hutaki kureply
Alafu mi ndio nakuweka mjini hutaki kureply
Eti unani bluetick mimi (Hutaki kureply)
Unajiona kontawa mjini (Hutaki kureply)
Huna wewe bila mimi (Hutaki kureply)
Alafu mi ndio nakuweka mjini (Hutaki kureply)
Eti unani bluetick mimi (Hutaki kureply)
Unajiona kontawa mjini (Hutaki kureply)
Huna wewe bila mimi (Hutaki kureply)
Alafu mi ndio nakuweka mjini (Hutaki kureply)
Hilo hilo hilo hilo hilo hile
Hilo hilo hilo hilo hilo hile
Hilo hiloo hilo hilo hilo hile
Hile hilo hilo hilo hilo hilo hile
Hilo hilo hilo hilo hilo hile
Hilo hilo hilo hilo hilo hile
Hilo hiloo hilo hilo hilo hile
Hile hilo hilo hilo hutaki kureply
Ila siku hizi naona umebadilika
(Umebadilika umebadilika)
Nikikuuliza tatizo we upo kimya
(We upo kimya we upo kimya)
Ila siku hizi naona umebadilika
(Umebadilika umebadilika)
Nikikuuliza tatizo we upo kimya
(We upo kimya we upo kimya)